Swali: Nifanye nini ikiwa nimetawadha kwa ajili ya swalah ya Maghrib ambapo nikaswali, kisha ikaingia wakati wa swalah ya ´Ishaa na nikataka kuswali ´Ishaa kwa wudhuu´ uleule. Hata hivyo sijui ikiwa wudhuu´ wangu umechenguka au haukuchenguka?
Jibu: Ikiwa utapata shaka kuhusu hadathi baada ya kuwa na twahara, basi puuza shaka hiyo na jenga juu ya kwamba bado una twahara, kwa sababu yakini haiondolewi kwa shaka.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/280)
- Imechapishwa: 12/11/2026
Swali: Nifanye nini ikiwa nimetawadha kwa ajili ya swalah ya Maghrib ambapo nikaswali, kisha ikaingia wakati wa swalah ya ´Ishaa na nikataka kuswali ´Ishaa kwa wudhuu´ uleule. Hata hivyo sijui ikiwa wudhuu´ wangu umechenguka au haukuchenguka?
Jibu: Ikiwa utapata shaka kuhusu hadathi baada ya kuwa na twahara, basi puuza shaka hiyo na jenga juu ya kwamba bado una twahara, kwa sababu yakini haiondolewi kwa shaka.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/280)
Imechapishwa: 12/11/2026
https://firqatunnajia.com/shaka-juu-ya-wudhuu-wake-wakati-anapotaka-kuswali/