Swali: Je, nyama ya ng’ombe inahesabiwa kuwa ni miongoni mwa nyama ya ngamia?
Jibu: Hukumu ya nyama ya ng’ombe si sawa na hukumu ya nyama ya ngamia katika suala la kuvunja wudhuu´ kwa kula. Bali hukumu hii ni maalum kwa nyama ya ngamia pekee, si wanyama wengine.

https://firqatunnajia.com/nyama-ya-ngombe-inachengua-wudhuu-kama-ya-ngamia/