Wudhuu´ hauchenguki baada ya kunywa majiwa ya ngamia

Swali: Ni ipi hukumu ya kutawadha baada ya kunywa maziwa ya ngamia? Kumepokelewa Hadiyth katika Musnad ya Imaam Ahmad na Musnad ya Ibn Maajah kuhusu kutawadha baada ya kunywa maziwa hayo?

Jibu: Kunywa maziwa ya ngamia hakuchengui wudhuu´ kwa mujibu wa maoni sahihi ya wanazuoni.

  • Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (5/276-277)
  • Imechapishwa: 12/11/2026