Swali: Kafiri aliyesilimu aanze kutamka shahaadah au atawadhe kwanza?
Jibu: Aanze kutamka shahaadah kisha ndio atawadhe kwa ajili ya kuswali. Kuoga juu yake ni jambo lililowekwa katika Shari´ah kwa kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliwaamrisha baadhi ya Maswahabah kufanya hivo waliposilimu.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (01/43)
- Imechapishwa: 06/10/2020
Swali: Kafiri aliyesilimu aanze kutamka shahaadah au atawadhe kwanza?
Jibu: Aanze kutamka shahaadah kisha ndio atawadhe kwa ajili ya kuswali. Kuoga juu yake ni jambo lililowekwa katika Shari´ah kwa kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliwaamrisha baadhi ya Maswahabah kufanya hivo waliposilimu.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (01/43)
Imechapishwa: 06/10/2020
https://firqatunnajia.com/shahaadah-kwanza-au-kutawadha/