Swali: Je, inafaa kumtolea mtu salamu kwa mbali kwa kumuashiria?

Jibu: Ndio. Lengo ni ili ajue kuwa unamsalimia. Kwa sababu hasikii sauti yako. Usiishilie kumuashiria peke yake. Mtolee salamu kwa kutamka na umuashirie ili ajue kuwa unamsalimia yeye.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (19) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdtfq-22011435-01.mp3
  • Imechapishwa: 21/12/2019