Salamu za kubusu miguu ya wazazi

Swali: Je, inafaa kwa mtu kubusu miguu ya wazazi wake?

Jibu: Hapana, inatosha kuwapea mkono. Au awabusu kwenye paji pa uso.

Swali: Vipi kwa anayefanya hivi?

Jibu: Bora ni kuacha kufanya hivo. Bora ni kuacha kufanya hivo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24579/هل-يجوز-تقبيل-قدم-الوالدين
  • Imechapishwa: 03/11/2024