Salamu ya mwanaume kwa wanawake

Swali: Ikiwa mwanamume atapita karibu na mwanamke ambaye hamfahamu. Je, amjibu au ampe salamu?

Jibu: Hakuna tatizo. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alipita kwa wanawake na akawasalimia. Alipita kwa kundi la wanawake na akawasalimia.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1313/هل-يجوز-السلام-على-النساء
  • Imechapishwa: 20/06/2026