Salamu kwa msichana mdogo

Swali 687: Je, inafaa kutoa salamu kwa mwanamke kijana?

Jibu: Salamu ni kwa wote.

Swali 688: Vipi ikiwa kunakhofiwa fitina?

Jibu: Hakuna fitina hapo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 246
  • Imechapishwa: 03/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´