Salamu kwa mkusanyiko wa watu katika darsa

Swali 686: Ni vipi atawatolea salamu mtu aliyewajia watu waliokaa katika darsa?

Jibu: Atawasalimia salamu ya jumla, ili asiwashughulishe.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 245
  • Imechapishwa: 03/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´