Salamu kwa ambaye una mashaka kuwa ni muislamu

Swali 663: Je, atolewe salamu yule ambaye hali yake imekuwa na mashaka?

Jibu: Ndio, muda wa kuwa hajulikani kwamba si muislamu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 240
  • Imechapishwa: 26/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´