Salama zaidi vaa soksi baada ya kuosha miguu yote miwili

Swali 131: Ikiwa mtu amevaa soksi za ngozi za upande wa kulia baada ya kuosha mguu wa kulia – je, anaruhusiwa kupangusa juu yake?

Jibu: Lililo salama zaidi ni kuivua baada ya kuosha mguu wa kushoto. Shaykhul-Islaam (Rahimahu Allaah) ameruhusu jambo hilo, lakini mimi nasimama juu ya hilo. Salama zaidi ni kuivua kisha ndio aivae.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 64
  • Imechapishwa: 25/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´