Swali 209: Je, msafiri anaweza kuanza kula hali bado hajatoka nyumbani kwake?
Jibu: Inasemekana kuwa imepokelewa kutoka kwa Anas. Hata hivyo tahadhari zaidi ni kuacha kufanya hivyo.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 88
- Imechapishwa: 01/05/2025
- Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
Swali 209: Je, msafiri anaweza kuanza kula hali bado hajatoka nyumbani kwake?
Jibu: Inasemekana kuwa imepokelewa kutoka kwa Anas. Hata hivyo tahadhari zaidi ni kuacha kufanya hivyo.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 88
Imechapishwa: 01/05/2025
Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´
https://firqatunnajia.com/salama-zaidi-ni-kutofanya/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket