Swali 639: Vipi kuhusu kilichopokelewa kutoka kwa baadhi ya Salaf kuhusu kufunga mfululizo?

Jibu: Huenda hawakufikiwa na katazo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 225
  • Imechapishwa: 17/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´