Safu ya mtoto wa chini ya miaka saba

Swali: Je, anakata safu mtoto wa kiume asiyeweza kupambanua mambo; kama vile miaka mitatu au minne, katika safu?

Jibu: Maoni ya karibu zaidi na usawa ni kwamba haikati. Ni kama mfano wa jiwe. Lakini bora ikiwa nyuma ya watu ili asiwashawishi waswaliji. Salama zaidi ni pale anapobaki nyumbani au nyuma ya watu ili asiwashawishi waswaliji.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22498/هل-يقطع-الصبي-غير-المميز-صف-الصلاة
  • Imechapishwa: 17/06/2023