Safari ya mfungaji ambaye atarejea siku hiyohiyo

Swali: Mfungaji akisafiri na akakusudia kurejea siku hiyohiyo – je, anapata ruhusa kama msafiri?

Jibu: Ana ruhusa mpaka pale atakaporejea. Atakaporejea basi atajizuilia. Lakini muda wa kuwa bado yuko safarini inafaa kwake kula na kuswali kwa kufupisha.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/audios/794/فتاوى-رمضانية
  • Imechapishwa: 16/04/2023