Safari ni ile isiyopungua masafa 80 km

Swali: Je, mtu afupishe au aswali kwa kukamilisha anaposafiri kutoka Riyaadh kwenda ´Uyaynah?

Jibu: ´Uyaynah ni karibu na si mbali.

Swali: Ni umbali kiasi gani?

Jibu: Udhahiri ni kwamba ni chini ya hapo. Kanuni inasema takriban 80 km; mchana mmoja na usiku wake. Kama mfano wa masafa yaliyoko Makkah na Twaaif, Makkah na Jeddah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/22562/كم-مسافة-قصر-الصلاة-في-السفر
  • Imechapishwa: 04/07/2023