Safari kwa ajili ya kumfuata imamu mwenye sauti nzuri

Swali 144: Vipi kuhusu kusafiri kwa ajili ya kuswali nyuma ya imamu fulani kwa sababu ya sauti yake?

Jibu: Hakuna tatizo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 69
  • Imechapishwa: 27/03/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´