Safari imeghairishwa baada ya kufika uwanja wa ndege

Swali 202: Vipi mtu ambaye amesafiri kupitia uwanja wa ndege, lakini alipofika uwanja wa ndege safari ikaghairishwa?

Jibu: Msingi ni kwamba kutoghairishwa, safari ikivunjika hapana neno kwake.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 86
  • Imechapishwa: 19/04/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´