Swali: Mkojo ukiingia kwenye nguo yangu inatosha nioshe kwa maji au ni lazima nitumie maji pamoja na sabuni?

Jibu: Hapana, si lazima kutumia sabuni. Ukiosha kwa maji mpaka najisi ikaondoka inatosha.

Swali: Suruwali ikidondoka chooni na sijui kama imeingiwa na najisi au hapana…

Jibu: Ikiwa hujui basi msingi ni kwamba ni safi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (27)
  • Imechapishwa: 15/04/2021