Sababu ya Ibn-ul-Qayyim kupitwa na mambo kadhaa katika Zaad-ul-Ma´aad

Swali 738: Je, Ibn-ul-Qayyim aliandika ”Zaad-ul-Ma´aad” huku akiwa na vitabu pamoja naye safarini?

Jibu: Ndio, alikuwa navyo. Ibn-ul-Qayyim alikosa mambo mengi ya kuhusiana na kusahihisha Hadiyth, kwa sababu aliandika akiwa safarini na hivyo yakampita mambo mengi. Alikuwa akitaja Hadiyth dhaifu na mara anasahau, kwa sababu alikuwa akiziandika kwa kutegemea kumbukumbu yake.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 261
  • Imechapishwa: 12/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´