Swali 618: Ni ipi hukumu ya kuwa na saa ya fedha?

Jibu: Inatakiwa kuepuka:

”Hivyo ni vya kwao duniani na ni vyetu Aakhirah.”

Imekuja katika Hadiyth nyingine:

”Lazimianeni na fedha na chezeni nayo.”

Hata hivyo ni dhaifu. Kwa hiyo bora ni kuacha kufanya hivo.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 220
  • Imechapishwa: 13/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´