Saa, pete na miwani ya wanaume iliyotiwa dhahabu

Swali:  Ni ipi hukumu ya kuvaa saa iliyopakwa[1] dhahabu?

Jibu: Haijuzu. Haijuzu kwa mwanaume kuvaa saa iliyotiwa dhahabu, pete iliyotiwa dhahabu wala miwani iliyotiwa dhahabu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (03) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdah–14340316.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020