Romantiki na mke baada ya Ihraam ya kwanza na kabla ya Ihraam ya pili

433 – Nilimuuliza Shaykh kuhusu kufanya romantiki baada ya kutoka Ihraam ya kwanza na kabla ya kutoka Ihraam ya pili?

Jibu: Kuna mitazamo tofauti, ingawa bora zaidi ni kuacha kufanya hivo. Kwa sababu ni njia inayopelekea huko. Kilichokatazwa ni kujamiana. ´Aaishah amesema:

“Nilimpa dawa kwa mkono wangu.”

si dalili ya wazi juu ya mume kuchanganyikana na mke.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 140
  • Imechapishwa: 29/08/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´