Ribaa kabla ya kuja Uislamu

Swali: Baadhi ya benki hazichukui ribaa, lakini zinaweka sharti la adhabu ya kifedha ikiwa mkopaji atachelewa kulipa?

Jibu: Hii ni ribaa ya kipindi kabla ya kuja Uislamu. Wanasema ikiwa muda wa deni utapita na hutanilipa, basi linaongezeka. Hii ni ribaa ya kipindi kabla ya kuja Uislamu. Inahusiana na kwamba ima deni liongezeke au ulipe.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/25416/ما-حكم-الشرط-الجزاىي-في-قروض-البنوك
  • Imechapishwa: 09/03/2025