Swali: Mimi nina ami ambaye anapinga Sunnah na anafanyia mzaha Hadiyth juu ya kumsikiliza na kumtii mtawala ambapo nikamnasihi mara nyingi lakini bado ni mwenye kuendelea kushikamana na msimamo wake na wala habadiliki. Ni ipi hukumu ya Kishari´ah?
Jibu: Kuna kipote cha kipotevu kinachoitwa “Qur-aaniyyuun” ambacho kinadai kuwa hakitendei kazi isipokuwa Qur-aan peke yake. Huu ni mfumo wa Khawaarij. Khawaarij ndio wenye kupinga Sunnah.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (42) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighastah%20%20-%2011%20-%201%20-%201437.mp3
- Imechapishwa: 14/03/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)