Swali: Nimesikia baadhi ya wanachuoni wakisema ni kipi bora; Qur-aan au ´Iysaa bin Maryam.
Jibu: Qur-aan ni maneno ya Allaah hayakuumbwa. ´Iysaa ni mwanadamu ameumbwa. Alizaliwa na Maryam bint ´Imraan. Hivyo Qur-aan ni bora zaidi.
- Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (4/05)
- Imechapishwa: 23/08/2020
Swali: Nimesikia baadhi ya wanachuoni wakisema ni kipi bora; Qur-aan au ´Iysaa bin Maryam.
Jibu: Qur-aan ni maneno ya Allaah hayakuumbwa. ´Iysaa ni mwanadamu ameumbwa. Alizaliwa na Maryam bint ´Imraan. Hivyo Qur-aan ni bora zaidi.
Muhusika: al-Lajnah ad-Daaimah
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa al-Lajnah ad-Daaimah (4/05)
Imechapishwa: 23/08/2020
https://firqatunnajia.com/qur-aan-au-iysaa-alayhis-salaam/