Swali: Je, inajuzu kusoma Qunuut na kuwaombea ndugu zetu waislamu walioko Palestina?
Jibu: Kuhusu Qunuut katika jambo hili, ni lazima kurejea kwa watawala. Ikiwa itatolewa taarifa rasmi kutoka kwa Wizara au kutoka kwa mamlaka ya utoaji wa Fatwa kwamba isomwe Qunuut, basi isomwe. Kwa sababu baadhi ya maimamu hawana uoni wa kielimu wala elimu ya kutosha. Lakini wanaweza kuombewa katika Sujuud na katika kila wakati. Pia waombewe wapambanaji jihaad kila mahali. Tunamuomba Allaah anusuru ndugu zetu wapambanaji walioko Chechenia, Palestina na Kashmir. Tunamuomba awatie nguvu, awarehemu katika udhaifu wao, awafutie matatizo yao, awaunganishe safu zao na akusanye neno lao. Aidha tunamuomba Allaah awadhalilishe maadui wao makafiri, awatawanye, ajaalie khofu katika nyoyo zao na awanusuru ndugu zetu waislamu dhidi yao. Hakika Yeye ndiye Mlinzi wa hilo na Muweza juu yake.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (24)
- Imechapishwa: 12/09/2026
Swali: Je, inajuzu kusoma Qunuut na kuwaombea ndugu zetu waislamu walioko Palestina?
Jibu: Kuhusu Qunuut katika jambo hili, ni lazima kurejea kwa watawala. Ikiwa itatolewa taarifa rasmi kutoka kwa Wizara au kutoka kwa mamlaka ya utoaji wa Fatwa kwamba isomwe Qunuut, basi isomwe. Kwa sababu baadhi ya maimamu hawana uoni wa kielimu wala elimu ya kutosha. Lakini wanaweza kuombewa katika Sujuud na katika kila wakati. Pia waombewe wapambanaji jihaad kila mahali. Tunamuomba Allaah anusuru ndugu zetu wapambanaji walioko Chechenia, Palestina na Kashmir. Tunamuomba awatie nguvu, awarehemu katika udhaifu wao, awafutie matatizo yao, awaunganishe safu zao na akusanye neno lao. Aidha tunamuomba Allaah awadhalilishe maadui wao makafiri, awatawanye, ajaalie khofu katika nyoyo zao na awanusuru ndugu zetu waislamu dhidi yao. Hakika Yeye ndiye Mlinzi wa hilo na Muweza juu yake.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (24)
Imechapishwa: 12/09/2026
https://firqatunnajia.com/qunuut-kwa-ajili-ya-ndugu-zetu-palestina/