Jipime maarifa yako kuhusu Maswahabah

Chemsha Bongo kuhusu Maswahabah 02

15:00

Nani aliitwa Asadullaah (Simba wa Allaah)?

Nani aliyeharibu sanamu la Manaat baada ya kusilimu?

Nani alikuwa kijana mdogo zaidi katika vita vya Badr?

Mwanamke gani aliyemsaidia Mtume wakati wa Hijrah?

Swahabah aliyekuwa kijana mdogo zaidi katika vita vya Badr?

Mwanamke alimnyonyesha Mtume alipokuwa mchanga?

Ni nani aliyevaa mavazi ya kijeshi na kupigana vita akiwa mwanamke?

Nani katika hawa aliyepewa bishara ya Pepo akiwa hai?

Nani alijulikana kwa kunywa sumu lakini haikumdhuru?

Ni nani aliyesuluhisha migogoro ya kiutawala baada ya fitina ya ´Uthmaan?

Mwanamke yupi katika hawa aliyehifadhi Qur-aan yote?

Swahabah yupi katika hawa alikuwa kipofu?

Nani aliyepigana vita akiwa mama mjamzito?

Swahabah yupi aliyeitwa (al-Faaruuq)?

Nani alikuwa Swahabah wa kwanza kusilimu katika watuwazima?

Ni Swahabah gani katika hawa ambaye alimwomba Mtume kuwa miongoni mwa wale watu 70.000?

Swahabah yupi alifunga ndoa na Faatwimah bint Muhammad?

Swahabah gani aliyeitwa (aminu haadhihi al-ummah)?

Swahabah katika hawa aliyejulikana kwa utoaji mkubwa wa swadaqah?

Nani aliyeshika bendera ya Kiislamu katika vita vya Badr?

Ni nani aliyepandisha sauti yake juu ya sauti ya Mtume akakaribia kuharibu matendo yake?

Nani alikuwa mwanamke wa kwanza kusilimu?