Swali: Kuchora baadhi ya viungo vya mtu kama vile mkono na mguu kunaingia katika hukumu ya picha?
Jibu: Picha ya kichwa ndio picha yenyewe. Kuhusu viungo vingine havikatazwi. Mtume Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliamrishwa na Jibriyl kukata kichwa cha sanamu ili iwe kama mti. Kwa hiyo picha ya mkono, mguu au kiungo kingine kwa ajili ya kukitazama, kukizingatia au haja nyingine – kama vile picha ya moyo au mapafu – hakuingii katika picha kamilifu. Kuhusu kichwa kinaingia [ndani ya makatazo].
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24118/حكم-رسم-اعضاء-الانسان-غير-الراس
- Imechapishwa: 02/09/2024
Swali: Kuchora baadhi ya viungo vya mtu kama vile mkono na mguu kunaingia katika hukumu ya picha?
Jibu: Picha ya kichwa ndio picha yenyewe. Kuhusu viungo vingine havikatazwi. Mtume Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) aliamrishwa na Jibriyl kukata kichwa cha sanamu ili iwe kama mti. Kwa hiyo picha ya mkono, mguu au kiungo kingine kwa ajili ya kukitazama, kukizingatia au haja nyingine – kama vile picha ya moyo au mapafu – hakuingii katika picha kamilifu. Kuhusu kichwa kinaingia [ndani ya makatazo].
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24118/حكم-رسم-اعضاء-الانسان-غير-الراس
Imechapishwa: 02/09/2024
https://firqatunnajia.com/picha-iliyokatazwa-ni-ile-iko-na-kichwa/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)