Swali 690: Shaykh wetu aliulizwa kuhusu onyesho la kijeshi?

Jibu: Lifanyike bila ala za muziki, bali kwa silaha kwa ajili ya kuonesha utukufu na nguvu. Baadhi yao wamenukuu kutoka kwa Shaykh wetu kuwa alisema: “Mashayikh wetu huwa wanalifanyia wepesi jambo hili.”

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 246
  • Imechapishwa: 03/07/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´