610 – Nilimuuliza kuhusu kupaka rangi ya kijivu au ya waridi kwenye nywele za kichwa?

Jibu: Inajuzu ilimradi si kwa rangi nyeusi, mradi haipelekei kujifananisha [na wasiokuwa waislamu].

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 216
  • Imechapishwa: 12/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´