Nyama ya ndege aliyeng´olewa kichwa chake

Swali 600: Ni ipi hukumu ya kung’oa kichwa cha ndege kwa mkono?

Jibu: Hapana, haijuzu kufanya hivo. Ndege hiyo si halali.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 214
  • Imechapishwa: 11/06/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´