Swali: Je, inafaa kutoa nyama kama Zakaat-ul-Fitwr?

Jibu: Hapana, isipokuwa ikiwa katika nchi hiyo hakuna chakula kingine isipokuwa nyama. Katika hali hiyo mtu itafaa kwa mtu kutoa chakula hicho.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (45)
  • Imechapishwa: 26/07/2024