Swali: Inapokuja katika ´Iyd-ul-Adhwhaa na kusimama ´Arafah, kuona mwezi mwandamo kunatofautiana na Saudi Arabia. Ni lini natakiwa kufunga ´Arafah?
Jibu: Funga na nchi yako, ufungue na nchi yako na sherehekea ´iyd na nchi yako.
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (45)
- Imechapishwa: 26/07/2024
Swali: Inapokuja katika ´Iyd-ul-Adhwhaa na kusimama ´Arafah, kuona mwezi mwandamo kunatofautiana na Saudi Arabia. Ni lini natakiwa kufunga ´Arafah?
Jibu: Funga na nchi yako, ufungue na nchi yako na sherehekea ´iyd na nchi yako.
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (45)
Imechapishwa: 26/07/2024
https://firqatunnajia.com/kila-kitu-fanya-na-nchi-yako/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)