Swali: Kila njia inayopelekea katika shirki kubwa inazingatiwa kuwa ni katika shirki ndogo na hivyo inatengwa na kusemwa ni katika shirki ndogo?
Jibu: Hapana, inasemwa kuwa ni njia inayopelekea katika shirki. Njia inaweza kuwa inayopelekea katika shirki kubwa na inaweza kuwa ni inayopelekea katika shirki ndogo. Kwa hali yoyote ni njia inayopelekea katika shirki. Hivyo ni haramu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (14) http://alfawzan.af.org.sa/node/2118
- Imechapishwa: 05/07/2020
Swali: Kila njia inayopelekea katika shirki kubwa inazingatiwa kuwa ni katika shirki ndogo na hivyo inatengwa na kusemwa ni katika shirki ndogo?
Jibu: Hapana, inasemwa kuwa ni njia inayopelekea katika shirki. Njia inaweza kuwa inayopelekea katika shirki kubwa na inaweza kuwa ni inayopelekea katika shirki ndogo. Kwa hali yoyote ni njia inayopelekea katika shirki. Hivyo ni haramu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (14) http://alfawzan.af.org.sa/node/2118
Imechapishwa: 05/07/2020
https://firqatunnajia.com/njia-zinazopelekea-katika-shirki-ni-shirki/