Swali 438: Mwanamke ana mapambo ya dhahabu na mumewe ni fakiri. Je, auze mapambo yake ili ahiji?

Jibu: Hapana. Mapambo ya kawaida hayalazimiki kuuzwa, lakini ikiwa ni ya ziada anayoyahifadhi basi inalazimika. Haimlazimu mume kumhijisha mke wake kutoka katika mali yake.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Masaa-il-ul-Imaam Ibn Baaz, uk. 141
  • Imechapishwa: 29/08/2025
  • Mkusanyaji: Shaykh Abiy Muhammad ´Abdullaah bin Maaniy´