Nisimamishe chakula na kwenda msikitini au niendelee?

Swali: Wakati fulani naalikwa na ndugu zangu na tunatumia chakula. Anaadhini mwadhini. Je, nisimame katikati ya chakula na kwenda msikitini au niketi nao na niendelee kula kwa lengo la kubainisha kuwa dini ni nyepesi?

 Jibu: Kamilisha chakula chenu cha jioni na baadaye swalini. Swalah ya mkusanyiko ikiwapiteni basi swalini nyumbani.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (106) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatoul%20lahfan-%2027-03-1441.mp3
  • Imechapishwa: 23/09/2020