3513- Qutaybah ametuhadithia: Ja´far bin Sulaymaan adh-Dhwuba´iy ametuhadithia, kutoka kwa Kahmas bin al-Hasan, kutoka kwa ´Abdullaah bin Buraydah, kutoka kwa ´Aaishah aliyesema:
“Ee Mtume wa Allaah! Nisemeje endapo nitajua usiku miongoni mwa nyusiku kwamba ndio usiku wa Qadar?” Akasema: “Sema:
اللَّهُمَّ إِنَّكَ عُفُوٌّ تُحِبُّ الْعَفْوَ فَاعْفُ عَنِّي
“Ee Allaah! Hakika Wewe ni Mwingi wa kusamehe na unapenda kusamehe. Hivyo basi, nisamehe.”[1]
[1] Swahiyh kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Swahiyh Sunan at-Tirmidhiy” (3513).
- Muhusika: Imaam Abu ´Iysaa Muhammad bin ´Iysaa at-Tirmidhiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Jaami´ (3515)
- Imechapishwa: 14/05/2020
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)
Related
Usiku wa Qadr kwa mujibu wa Ubayy bin Ka´b
793- Waaswil bin ´Abdil-A´laa al-Kuufiy ametuhadithia: Abu Bakr bin ´Ayyaash ametuhadithia, kutoka kwa ´Aaswim, kutoka kwa Zirr aliyesema: “Umejuaje, ee Abul-Mundhir, kwamba usiku wa Qadr ni usiku wa tarehe ishirini na saba?” Akasema: “Ndio. Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) ametueleza alama ya usiku huo ni kwamba jua…
In "Laylat-ul-Qadr"
Usiku wa Qadr kwa mujibu wa Abu Bakrah
794- Humayd bin Mas´adah ametuhadithia: Yaziyd bin Zuray´ ametuhadithia: ´Uyaynah bin ´Abdir-Rahmaan ametuhadithia: Baba yangu amenihadithia: “Nilitaja usiku wa Qadr mbele ya Abu Bakrah ambapo akasema: “Mimi si mwenye kuutafuta wakati mwingine isipokuwa kutokana na vile nilivyosikia kutoka kwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) katika zile nyusiku…
In "Laylat-ul-Qadr"
Waislamu kujipinda katika nyusiku kumi za mwisho
Swali: Kwa mnasaba wa usiku wa Qadr tunapenda kutoka kwa muheshimiwa kuwazungumzia waislamu wote juu ya mnasaba huu mtukufu. Jibu: Usiku wa Qadr ndio usiku bora. Allaah (Ta´ala) ameteremsha ndani yake Qur-aan na akakhabarisha kwamba ni bora kuliko miezi elfu, kwamba ni wenye baraka na kwamba katika usiku huo kunapambanuliwa…
In "Laylat-ul-Qadr"