Swali: Je, akatazwe mwanamke ambaye anapitiliza katika kuonyesha macho ndani ya Niqaab?
Jibu: Hakuna ubaya ikiwa amevaa Niqaab. Ni jambo amelikubali Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Swali: Vipi ikiwa ataipanua?
Jibu: Aonyeshe jicho moja au macho mawili tu.
Swali: Baadhi yao wanapanua zaidi. Wakatazwe?
Jibu: Wakatazwe, wafungue kiasi cha jicho moja au macho mawili tu pasi na kufanya jambo ambalo atawatia watu ndani ya mtihani.
Swali: Je, Burqu´ inazingatiwa kwa sababu inaonyesha macho mawili yake na baadhi ya sehemu ya paji la uso?
Jibu: Burqu´ ndio Niqaab.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24631/حكم-التوسع-في-فتحة-العين-في-نقاب-المراة
- Imechapishwa: 16/11/2024
Swali: Je, akatazwe mwanamke ambaye anapitiliza katika kuonyesha macho ndani ya Niqaab?
Jibu: Hakuna ubaya ikiwa amevaa Niqaab. Ni jambo amelikubali Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).
Swali: Vipi ikiwa ataipanua?
Jibu: Aonyeshe jicho moja au macho mawili tu.
Swali: Baadhi yao wanapanua zaidi. Wakatazwe?
Jibu: Wakatazwe, wafungue kiasi cha jicho moja au macho mawili tu pasi na kufanya jambo ambalo atawatia watu ndani ya mtihani.
Swali: Je, Burqu´ inazingatiwa kwa sababu inaonyesha macho mawili yake na baadhi ya sehemu ya paji la uso?
Jibu: Burqu´ ndio Niqaab.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24631/حكم-التوسع-في-فتحة-العين-في-نقاب-المراة
Imechapishwa: 16/11/2024
https://firqatunnajia.com/niqaab-zilizotanuka-zaidi/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)