Swali: Makatazo ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) juu ya mwanamke anayefanya Ihraam kuvaa Niqaab. Mtu anaweza kutumia dalili hiyo juu ya kufaa kuivaa nje ya Ihraam?
Jibu: Ndio. Ikiwa atafunika uso wake hakuna neno. Kilichokatazwa ni kama atavaa Niqaab kwa sababu ya kujipamba. Hivi sasa wanavaa kwa ajili ya kujipamba, jambo ambalo halijuzu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (21) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
- Imechapishwa: 01/03/2020
Swali: Makatazo ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) juu ya mwanamke anayefanya Ihraam kuvaa Niqaab. Mtu anaweza kutumia dalili hiyo juu ya kufaa kuivaa nje ya Ihraam?
Jibu: Ndio. Ikiwa atafunika uso wake hakuna neno. Kilichokatazwa ni kama atavaa Niqaab kwa sababu ya kujipamba. Hivi sasa wanavaa kwa ajili ya kujipamba, jambo ambalo halijuzu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (21) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
Imechapishwa: 01/03/2020
https://firqatunnajia.com/niqaab-inayofaa-na-isiyofaa/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Click to print (Opens in new window) Print
- Click to email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Click to share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Click to share on X (Opens in new window) X
- Click to share on Pocket (Opens in new window) Pocket