Swali: Nikimuona mtu anazini na nikawa na mashahidi wanne na hakuna yeyote wa kumsimamishia adhabu lakini mimi nina uwezo wa kufanya hivo. Je, nimsimamishie adhabu?

Jibu: Hapana, hili ni jukumu la mamlaka. Subiri na utarajie malipo kutoka kwa Allaah. Hakuna jopo lenye nguvu linaloweza kujitetea.

  • Muhusika: ´Allaamah Muqbil bin Haadiy al-Waadi´iy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Qam´-ul-Mu´aanid, uk. 247
  • Imechapishwa: 15/02/2025