Swali: Mwenye kumkufuru Allaah (Subhaanah) na akasimamishiwa hoja lakini asirejee – naweza kusema kuwa ni kafiri?
Jibu: Akikufuru sema kuwa ni kafiri. Akikufuru na kufanya moja katika mambo yenye kutengua Uislamu na asirejee katika kuritadi kwake, sema kuwa ni kafiri. Kiko wapi kizuizi?
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340126_0.mp3
- Imechapishwa: 25/08/2020
Swali: Mwenye kumkufuru Allaah (Subhaanah) na akasimamishiwa hoja lakini asirejee – naweza kusema kuwa ni kafiri?
Jibu: Akikufuru sema kuwa ni kafiri. Akikufuru na kufanya moja katika mambo yenye kutengua Uislamu na asirejee katika kuritadi kwake, sema kuwa ni kafiri. Kiko wapi kizuizi?
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (01) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340126_0.mp3
Imechapishwa: 25/08/2020
https://firqatunnajia.com/nikufurishe/