Swali: Baadhi ya wanazuoni wanasema kuwa mwenye kumswalia maiti anaweza kusimama usawa wa kifua cha mwanaume?
Jibu: Hapana, Sunnah ni kusimama usawa na kichwa, hii ndiyo iliyothibiti katika Hadiyth Swahiyh. Na kwa mwanamke ni kusimama usawa na sehemu ya makalio na kwenye kiuno cha mwanamke, kama ilivyo katika Hadiyth ya Anas.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/27559/اين-يقف-المصلي-على-جنازة-الرجل-والمراة
- Imechapishwa: 12/04/2025
Swali: Baadhi ya wanazuoni wanasema kuwa mwenye kumswalia maiti anaweza kusimama usawa wa kifua cha mwanaume?
Jibu: Hapana, Sunnah ni kusimama usawa na kichwa, hii ndiyo iliyothibiti katika Hadiyth Swahiyh. Na kwa mwanamke ni kusimama usawa na sehemu ya makalio na kwenye kiuno cha mwanamke, kama ilivyo katika Hadiyth ya Anas.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/27559/اين-يقف-المصلي-على-جنازة-الرجل-والمراة
Imechapishwa: 12/04/2025
https://firqatunnajia.com/ni-wapi-anasimama-anayemswalia-maiti/