Ni wakati gani unatakiwa na hutakiwi kuficha siri ya waovu?

Swali: Je, nifiche siri ya watenda maovu?

Jibu: Ambaye anadhihirisha ibainishwe hali yake ili akome. Lakini ambaye anafanya kwa siri, mambo ni kama alivosema Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

”Yule anayemstiri muislamu basi Allaah atamsitiri duniani na Aakhirah.”

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24418/هل-يشرع-كتم-سر-اهل-المعاصي
  • Imechapishwa: 10/10/2024