Ni wajibu kuwachukia Ahl-ul-Bid´ah na wafanya madhambi

Swali: Je, inajuzu kuwachukia watu wa Bid´ah katika Ummah huu na kuwachukia wafanya madhambi?

Jibu: Anasema inajuzu? Bali ni wajibu na si kwamba inajuzu. Ni wajibu. Ni wajibu kuwachukia kwa ajili ya Allaah. Kuwachukia makafiri, watu wa Bid´ah na kuwapenda waumini, hili ni jambo la wajibu. Ni wajibu kwako kuwapenda waumini na kuwachukia makafiri na watu wa Bid´ah. Uwachukie kwa ajili ya Allaah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=12824
  • Imechapishwa: 04/05/2015