Swali: Je, Khutbah ya ndoa ni wajibu?

Jibu: Inapendeza. Kinachotambulika kwa wanazuoni ni kwamba inapendeza. Kwa ajili hiyo Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alimuozesha Waahibah na hakutoa Khutbah.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23847/هل-خطبة-النكاح-مستحبة-ام-واجبة
  • Imechapishwa: 18/05/2024