Ni upi usahihi wa Hadiyth hii?

Swali: Ni upi usahihi wa Hadiyth:

“Mwenye kukaa mpaka jua likachomoza ana ujira wa Hajj na ´Umrah kikamilifu, kikamilifu”?

Jibu: Hadiyth hii ni dhaifu.

Lakini baadhi ya wanachuoni, akiwemo Shaykh Ibn Baaz, wanasema kuwa ina njia zingine zinazopeana nguvu. Mtu anatarajiwa kupana kheri hii.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajhiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://subulsalam.com/play.php?catsmktba=4743
  • Imechapishwa: 01/05/2015