Swali: Vipi kuhusu mwanamke anayetaka kusafiri peke yake bila ya Mahram kutoka nchi ya kikafiri kwenda nchi ya Kiislamu?

Jibu: Hapana vibaya ikiwa ni mwenye kuhajiri kutokana na dharurah. Asafiri pamoja na watu waaminifu.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24522/حكم-المحرم-للمراة-في-سفرها-من-بلاد-الكفر
  • Imechapishwa: 24/10/2024