Swali: Ukafiri wa wanasekula ni mkubwa?

Jibu: Wanasekula hawaamini dini. Wao wameegemea ulimwengu tu. Hawamwamini Allaah na siku ya Mwisho. Huyu ndiye mwanasekula ambaye analingania kuwafuata walimwengu na wawe na wawe juu ya maoni ya walimwengu katika shirki, upotofu na ukhurafi wao.

Swali: Wanasema kutenganisha dini na nchi?

Jibu: Hii ndio maana kwamba hawana dini. Wanalingania katika kufuata ulimwengu unavoenda.

  • Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/24505/ما-معنى-العلمانية-وحكم-المنتسبين-اليها
  • Imechapishwa: 19/10/2024