Swali: Eda ya mwenye shaka ni kiasi gani? Ni nani mwenye shaka?
Jibu: Mwenye shaka ni yule mwanamke anayekuwa na shaka kama tumboni mwake kuna mimba au hakuna mimba? Huyu anakaa katika eda mpaka shaka iondoke. Shaka ikiondoka na akipata hedhi mara tatu, anatoka ndani ya eda. Kwa sababu hedhi tatu husafisha tumbo la uzazi na zinatosha katika kupata yakini ya kuondoka shaka. Kadiri anavyokosa kupata hedhi, basi bado ni mwenye shaka. Atangoja mpaka apate hedhi au kupite mwaka mzima. Ikipita mwaka mzima na hakuna kitu kilichoonekana na haikuonekana mimba kwake, basi atakaa eda ya miezi mitatu, kama alivyotoa fatwa ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhumaa).
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1277/ما-معنى-المرتابة-وكم-عدتها
- Imechapishwa: 15/02/2026
Swali: Eda ya mwenye shaka ni kiasi gani? Ni nani mwenye shaka?
Jibu: Mwenye shaka ni yule mwanamke anayekuwa na shaka kama tumboni mwake kuna mimba au hakuna mimba? Huyu anakaa katika eda mpaka shaka iondoke. Shaka ikiondoka na akipata hedhi mara tatu, anatoka ndani ya eda. Kwa sababu hedhi tatu husafisha tumbo la uzazi na zinatosha katika kupata yakini ya kuondoka shaka. Kadiri anavyokosa kupata hedhi, basi bado ni mwenye shaka. Atangoja mpaka apate hedhi au kupite mwaka mzima. Ikipita mwaka mzima na hakuna kitu kilichoonekana na haikuonekana mimba kwake, basi atakaa eda ya miezi mitatu, kama alivyotoa fatwa ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhumaa).
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/1277/ما-معنى-المرتابة-وكم-عدتها
Imechapishwa: 15/02/2026
https://firqatunnajia.com/ni-nani-mwanamke-mwenye-shaka-ndani-ya-eda/
Mshirikishe mwenzako:
- Share on Telegram (Opens in new window) Telegram
- Share on WhatsApp (Opens in new window) WhatsApp
- Print (Opens in new window) Print
- Email a link to a friend (Opens in new window) Email
- Share on Facebook (Opens in new window) Facebook
- Share on X (Opens in new window) X
- Share on Pocket (Opens in new window) Pocket